Twakuomba Uje Roho Mfariji Lyrics

TWAKUOMBA UJE ROHO MFARIJI

 1. Twakuomba uje Roho Mfariji -
  Uje Roho Mtakatifu mfariji
  Twakuomba uje kutufariji -
  Uje Roho Mtakatifu mfariji

  Nyoyo zetu ni altare yako
  Uzipambe kwa mapaji yako
  Uje Roho Mtakatifu mfariji
 2. Wewe ndiwe mleta kwetu mapaji . . .
  Wewe ndiwe Baba mwema na mpaji . . .
 3. Utujaze mema yote ya mbingu . . .
  Utujaze na faraja ya mbingu . . .
 4. Twakuomba uwezo na akili . . .
  Twakuomba mapendo ya kweli . . .
 5. Utuangazie mema ya mbingu . . .
  Utuangazie tupate mbingu . . .
Twakuomba Uje Roho Mfariji
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SOURCEArusha Tanzania
 • Comments