Milele Yesu Nitakusifu

Milele Yesu Nitakusifu
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views4,267

Milele Yesu Nitakusifu Lyrics

  1. { Milele ee (Yesu) nitakusifu milele *2
    Kwa nyimbo za shangwe nitakusifu milele *2 aleluya } *2

  2. Mwokozi katenda mambo ya ajabu,
    Kaniweka huru amenifungua
    Ni shangwe kubwa kukombolewa *2
  3. Wakati wa shida kanisaidia,
    Ameniondoa ndani ya mitego
    Ni shangwe kubwa kukombolewa *2
  4. Kanihakikisha uzima Mbinguni,
    Kaniondolea hukumu ya dhambi
    Ni shangwe kubwa kukombolewa *2