Nyumbani mwa Bwana

Nyumbani mwa Bwana
Performed bySt. Don Bosco Kyaani
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerEmmanuel Kawa
Views14,512

Nyumbani mwa Bwana Lyrics

  1. { Nyumbani - mwa Bwana mna mema
    Twendeni - kwa shangwe tumwabudu } * 2
    { Tuchezecheze turukeruke,
    Tuimbeimbe, tumsifu Mungu } *2

  2. Tuingie kwa shangwe kubwa, tumwimbie Muumba wetu
    Kwa vinanda tumsifu Mungu
  3. Nyumba yake ni takatifu, ma-kao matakatifu
    Tuingie tumsifu Mungu
  4. Yeye Bwana ni kinga yetu, yeye Bwana ni nguvu yetu
    Pendo lake ni la milele