Waumini Tuwe na Juhudi Lyrics

WAUMINI TUWE NA JUHUDI

@ John Mgandu

Waamini tuwe na juhudi kulijenga kanisa letu *2
{ Tutoe kwa ukarimu, sehemu ya mali yetu
Aliyotujalia Mwenyezi Mungu } *2

  1. Waumini tuwe tayari daima kujitolea kwa hali na mali
    Na kwa ukarimu sote tulijenge kanisa letu
  2. Waumini amkeni tuwajibike kulijenga hekalu la Mungu
    Ndiyo nyumba ya sala na ibada takatifu
  3. Kanisa litajengwa na sisi wenyewe, kwa hivyo waumini
    Tufanye juhudi kutoa michango yetu
Waumini Tuwe na Juhudi
COMPOSERJohn Mgandu
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYB Flat Major
TIME SIGNATURE2/4
NOTES Open PDF
  • Comments