Laumu Imeuvunja Moyo

Laumu Imeuvunja Moyo
Performed by-
CategoryTBA
Views5,944

Laumu Imeuvunja Moyo Lyrics

LAUMU IMEUVUNJA MOYO


  1. Laumu imeuvunja moyo wangu (Imeuvunja)
    Imeuvunja (moyo wangu) moyo wangu *2
  2. Nikalegea nikatazamia wa kunisikitikia
    Nisimwone, Na wa kunituliza asipatikane
  3. Wakanipa nyongo, hicho ndicho wakasema
    chakula changu, uovu gani,
    Nilipoona kiu wakanipa siki
  4. Yamenizua mikono yangu na miguu yangu
    Naweza kuhesabu mifupa yangu
    ote ya mwilini mwangu
  5. Ee Mungu wangu usikawie
    Ufanye haraka uje kuniokoa,
    Watesi wafurahi kushindwa kwangu