Injili Yake Yesu Lyrics

INJILI YAKE YESU

 1. Injili yake Yesu, ni neno lake Mungu,
  Injili iende mbele aah aah aa

  { Injili iende mbele aah aah aa
  Injili iende mbele ni neno la wokovu aah aah aa } *2

 2. Ni neno lenye mwanga, ni neno lenye nguvu
  Ni neno la amani aah aah aa
 3. Injili yaokoa, injili yaponyesha
  Injili yadumisha aah aah aa
 4. Mkristu jiandae kusikiliza neno
  Neno lenye uzima aah aah aa
Injili Yake Yesu
 • Comments