Enyi Walinzi

Enyi Walinzi
Alt TitleYesu Hayumo Katika Kaburi
Performed bySt. Gabriel Biticha Kisii
CategoryPasaka (Easter)
Views2,205

Enyi Walinzi Lyrics

ENYI WALINZI

  1. {Enyi walinzi mwaenda wapi,

    Yesu hayumo katika kaburi (hakika)
    Na Galilaya katangulia ni mzi-ma aleluya }* 2
    /s/ Tuimbe leo Bwana amefufuka *2
    /a/ Tuimbe leo hakika Bwana amefufuka
    /t/ Aaah aah aah kuu aleluya
    /b/ Aaah aah aleluya furaha kuu aleluya
  2. Nanyi walinzi uoga mwingi . . .
  3. Na manukato mnayobeba . . .