Asante Mungu

Asante Mungu
Performed bySt. Joseph the Worker Ngokolo Shinyanga
AlbumNjooni Tumsifu Mungu
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerBernard Mukasa
Views21,054

Asante Mungu Lyrics

  1. Ehee nakumbuka kule nilikotoka;
    Ahaa najiuliza mimi nisemeje
    Ehee kigugumizi kinanikamata;
    Ahaa najiuliza mimi najihoji tu

    Sina neno mimi sina jipya la kusema,
    umetenda wema mpaka unanishangaza.
    Nashukuru Bwana asante Mungu tena sana asante,
    asante Mungu sina maneno asante asante Mungu

  2. Ehee ulinigusa tumboni mwa mama ...
    Ehee nikazaliwa tayari kwa kazi ...
  3. Ehee ukanipa kuwainua watu ...
    Ehee wakakuimbia na kukusifu ...
  4. Ehee dunia iliponishambulia ...
    Ehee ukasimama ukanitetea ...
  5. Ehee nitakuimbia na nyumba yangu ...
    Ehee tutakusifu siku za uhai ...

    Hitimisho

    Ama kweli iya unanishangaza wewe ni mwema,
    Ama kweli iya unapenda watu wewe ni mwema,
    Ama kweli iya unawathamini wewe ni mwema,
    Nashukuru hiya Nashukuru sana wewe ni mwema
    Nakusifu hiya nakusifu sana wewe ni mwema
    Siku zote hiya nitakuimbia wewe ni mwema
    we ni mwema wewe ni mwema (ni mwema)
    wewe ni mwema na mpole wewe ni mwema
    ni mwema wewe ni mwema ni mwema Hiya
Recorded by * Kwaya ya Mtakatifu Yusufu Mfanyikazi, Ngokolo Shinyanga * St. Monica Kigamboni