Utukumbuke Lyrics

UTUKUMBUKE

@ Bernard Mukasa

Tunakutumikia duniani Bwana utukumbuke mbinguni,
Twakutumikia duniani Bwana utukumbuke mbinguni
Usiyahesabu mapungufu yetu uturehemu,
Tuko hima yetu utupokee

  1. Usizisahau, juhudi zetu japo ni duni, zipokee.
  2. Tunayojaribu, uyabariki yahesabiwe, mbele yako.
  3. Tulipo anguka, usihesabu kwa kuwa Yesu, katufia.

    //hitimisho//

    Ahee utukumbuke huko uliko Baba (Baba yetu mwema)
    Twakutumikia tufike kwako (Ohoo|Ahaa) juu x2
Utukumbuke
COMPOSERBernard Mukasa
CATEGORYKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
  • Comments