Waipeleka Roho Lyrics

WAIPELEKA ROHO

@ John Mgandu

Waipeleka Roho, waipeleka Roho yako Ee Bwana,
Roho yako ee Bwana (Ee Bwana)
Nawe waufanya upya, uso wa dunia aleluya x 2

  1. Njoo Roho Mtakatifu, uijaze nyoyo ya waamini, na uwashe ndani yao upendo wako.
  2. Ee Nafsi yangu, umhimidi Bwana, wewe Mungu wangu, na imejifanya kuwa mkuu sana.
  3. Ee Bwana Mungu wangu, jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako.
Waipeleka Roho
COMPOSERJohn Mgandu
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
  • Comments