Kabila Langu
| Kabila Langu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | H. Matete |
| Views | 6,987 |
Kabila Langu Lyrics
(Kabila langu, kabila langu nimekutendea nini,
nimekutendea nini au nimekusikitisha kitu gani) x 2
(Ilipasa nikutende nini zaidi, nini zaidi,
nini zaidi nisikutendee, nilikupenda kama shamba zuri sana) x 2- Nilikupenda kama shamba langu zuri sana, nawe umekua mchungu kabisa kwangu.
- Nilipo kuwa na kiu ukaninywesha siki, ukanichoma ubavu wangu kwa mkuki.