Yesu Wangu Niokoe

Yesu Wangu Niokoe
Performed bySt. Maurus Kurasini
AlbumHubirini Kwa Kuimba
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerA. K. C. Singombe
Views9,179

Yesu Wangu Niokoe Lyrics

  1. Yesu wangu niokoe,
    { Ulimwegu nilimo ni wa mateso
    Nishike mkono wangu Bwana niokoe
    Ulikuja duniani kwa wadhambi,
    Nitakase kwa damuyo Bwana nitakate
    Bwana nakukimbilia } *2

  2. Nionyeshe uso wako uso mkunjufu, nisamehe dhambi,
    Nakusihi Mwokozi, Bwana unisikie
  3. Nimefanana na mwana mwana mpotevu, dhiki na karaha
    Vimenisonga sana Bwana unisikie
  4. Wewe ndiwe ngome yangu ngao yangu tumaini langu
    Ninakutegemea Bwana unisikie
  5. Roho yangu mwili wangu vyote ni vyako ndivyo ulivyoumba
    Viimarishe Bwana, Bwana unisikie
  6. Mungu Baba Mungu mwamba Mungu mkombozi
    Mungu wa mapaji, Utatu Mtakatifu usifiwe milele