Anga na Mbingu

Anga na Mbingu
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumBwana Kafufuka
CategoryPasaka (Easter)
ComposerVictor Aloyce Murishiwa
Views5,909

Anga na Mbingu Lyrics

  1. Anga na Mbingu vitangaze haya,
    Dunia yote ishangilie jambo hili

    Tazama Kristu amejifufua, tazama Bwana kashinda mauti
    Bwana Yesu kafufuka, ameyashinda mauti
    Watu wote duniani tuimbe (aleluya),
    Tuimbe (kafufuka), Aleluya aleluya Bwana kafufuka tuimbe aleluya

  2. Maria Salome na Magdalena,
    Walishangazwa kulikuta kaburi wazi
  3. Na malaika akawatokea,
    Akawaambia, Bwana Yesu amefufuka
  4. Katangulia kule Galilaya,
    Nendeni huko ndiko mtakakomkuta