Unapaswa Kuabudiwa Lyrics

UNAPASWA KUABUDIWA

@ Emmanuel Mpesa

Ni wewe Mungu wetu so-te
Uliyeumba mwanadamu ni wewe
Hakuna zaidi yako ni wewe
Uliyeumba mbingu na nchi ni wewe

 1. Mungu wa mababu zetu ni wewe
  Mungu wa mabibi zetu ni wewe
  Ndiwe kimbilio letu ni wewe
  Ndiwe tegemeo letu ni wewe
 2. Hakuna Mungu mwingine ni wewe
  Upaswaye kuabudiwa ni wewe
  Ndiwe kimbilio letu ni wewe
  Ndiwe tegemeo letu ni wewe
 3. Umeumba vitu vyote ni wewe
  Upaswaye kuabudiwa ni wewe
 4. Umeumba na wanyama ni wewe
  Upaswaye kuabudiwa ni wewe
 5. Mungu wa miungu yote ni wewe
  Upaswaye kuabudiwa ni wewe
Unapaswa Kuabudiwa
ALT TITLENi wewe Mungu Wetu Sote
COMPOSEREmmanuel Mpesa
CHOIRSt. Yuda Thadei Chuo cha Uhasibu Arusha
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE6
16
NOTES Open PDF
 • Comments