Nendeni Na Amani Lyrics

NENDENI NA AMANI

{ Nendeni na amani, nendeni na amani
Nendeni na amani, nendeni na amani } *2
Mkayatangaze mliyosikia katika masomo na Injili *2

 1. Tumsifu Bwana Mungu, kwani yeye ni mwema
  Tumwombe siku zote
 2. Mwimbieni kwa shangwe, mwimbieni zaburi
  Kwa ngoma na vinanda
 3. Tagaza sifa zake, tangaza nguvu zake
  Tangazeni amani
 4. Tangazeni ukuu wa jina lake Bwana
  Msifuni milele
Nendeni Na Amani
CHOIRDar-es-Salaam Cathedral
ALBUMRoho ya Bwana
CATEGORYRecession
 • Comments