Roho ya Bwana Lyrics

ROHO YA BWANA

{ Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu
Nayo inayoviunganisha viumbe vyote ee
Hujua maana ya kila sauti aleluya } *2

  1. Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia
    Petro akasema kwa sauti kubwa
  2. Watu wa Uyahudi nanyi jueni
    Jueni jambo hili mkalitimize
  3. Roho wake atujaze na mapaji yake
    Tuyafuate mema tufike Mbinguni
Roho ya Bwana
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
  • Comments