Mpokeeni Roho Mtakatifu Lyrics

MPOKEENI ROHO MTAKATIFU

Mpokeeni (pokeeni) huyu Roho Mtakatifu mfariji,
pokeeni (pokeeni) na mapaji hayo yake saba

 1. Yeye ni hekima,
  Tuyapende mambo mema na kuyachukia mabaya
 2. Yeye ni akili,
  Tulijue Neno lake na kuyatenda yalo mema
 3. Yeye ni shauri,
  Tushauriane wote tuishi kwa neema za Mungu
 4. Yeye ndiye nguvu,
  Tuzipate nguvu za kutimiza majukumu yetu
Mpokeeni Roho Mtakatifu
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
 • Comments