Bwana alitutendea mambo makuu
Bwana alitutendea mambo makuu
tulikuwa tukifurahi tukifurahi
(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi
Alitutendea mambo makuu
Bwana alitutendea mambo makuu
Tulikuwa tukifurahi tukifurahi
(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi
- Bwana alipowarejesha mateka wa sayuni
Tulikuwa kama waotao ndoto
Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko
Na ulimi wetu kelele za shangwe
- Ndipo waliposema katikati ya mataifa
Bwana amewatendea mambo makuu
Bwana alitutendea mambo makuu
Tulikuwa tukifurahi
- Bwana uwarejeshe watu wetu waliofungwa
Kama vijito vya kusini
Wale watu wapandao kwa machozi
Watavuna kwa kelele za shangwe
|
Bwana Alitutendea Mambo Makuu |
COMPOSER | Deo Mhumbira |
CHOIR | St. Cecilia Mirerani |
ALBUM | Upendo na Amani |
CATEGORY | Zaburi |
REF | Zab 126 |
MUSIC KEY | A Major |
TIME SIGNATURE | 3 8 |
NOTES |
Open PDF |
|
|