Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Performed by-
AlbumKila Kunapokucha
CategoryZaburi
Views9,168

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu Lyrics

  1. {Bwana ndiye mchungaji wangu,
    Sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa
    {sitapungukiwa, Sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa} * 2
    {
    (Katika majani) katika majani mabichi hunilaza
    (Kando ya maji) Kando ya maji ya utulivu huniongoza} * 2
    {Aiye aiyelele iyele
    Aiye aiyelele iyele
    Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu } *2

  2. Huniuhuisha nafsi yangu, na kuniongoza
    katika njia za haki kwa ajili ya Jina lake, Bwana ndiye
  3. Au nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti
    sitaogopa mabaya sitaogopa, Bwana ndiye