Bwana Asema Mimi Ni Wokovu Lyrics

BWANA ASEMA MIMI NI WOKOVU

@ Joseph Makoye

{Bwana asema mimi ni wokovu wa watu
Wakinililia katika taabu yoyote
Nitawasikiliza nami nitakuwa Bwana wao milele} * 2

  1. Ewe Bwana uliirithia nchi yote
    Umewarejesha mateka wa Yakobo
  2. Umeusamehe uovu wa watu wako
    Umezisitiri hatua zao zote
Bwana Asema Mimi Ni Wokovu
COMPOSERJoseph Makoye
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE4
4
SOURCEDar-es-Salaam Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments