Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako

Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako
Performed bySt. Maurus Kurasini
AlbumHubirini Kwa Kuimba
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views6,420

Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako Lyrics

  1. {Ee Bwana, ee Bwana ee Bwana kumbuka rehema zako
    na fadhili zako ee Bwana }* 2
    {Kwa maana zimekuwapo
    Kwa maana zimekuwapo tokea zamani
    Kwa maana zimekuwapo tokea zamani } * 2

  2. Ee Bwana ee Bwana unijulishe njia zako
    Unifundishe mapito yako
    Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha
    Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu
  3. Usiyakumbuke makosa makosa ya ujana wangu
    Wala maasi yangu
    Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako ee Bwana
    Kwa ajili ya wema wako, kwa ajili ya wema wako