Bwana Moyo Wangu Lyrics

BWANA MOYO WANGU

@ H. Matete

{ Bwana moyo wangu hauna kiburi
Nayo macho yangu hayainuki } *2
{ Wala sijishughulishi na mambo makuu
Yanayozishinda nguvu zangu } *2

  1. Hakika nimetuliza nafsi yangu, na pia kuinyamazisha
  2. Kama mtoto aliyeachishwa ziwa, kifuani kwa mamaye
  3. Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu mimi, tangu leo hata milele
Bwana Moyo Wangu
COMPOSERH. Matete
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMTufurahi
CATEGORYZaburi
REFZaburi 131
MUSIC KEYE Major
TIME SIGNATURE3
8
NOTES Open PDF
  • Comments