Ee Bwana Nimekuita

Ee Bwana Nimekuita
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views4,823

Ee Bwana Nimekuita Lyrics

  1. Ee Bwana ee Bwana, nimekuita kwa maana utaitika
    {Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu } * 2

  2. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho
    Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako
  3. Ee Bwana kwa mkono wako wa kuume
    Uniokoe nao wanaoondokea