Ee Bwana Unifadhili Lyrics

EE BWANA UNIFADHILI

@ Joseph Makoye

{Ee Bwana unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa
Kwa maana wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe
Na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitaao } * 2

  1. Siku ya mateso yangu nitakuita
    Kwa maana utaniitikia
  2. Ee Bwana unifundishe njia zako
    Nitakwenda katika kweli yako
Ee Bwana Unifadhili
COMPOSERJoseph Makoye
CATEGORYZaburi


Recorded by
* Kwaya Familia Takatifu, St. Joseph Cathedral Dsm
  • Comments