Ee Bwana Unihukumu Lyrics

EE BWANA UNIHUKUMU

@ Joseph Makoye

{Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki
Uniokoe na mtu wa hila asiye haki
Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu } * 2

  1. Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze
    Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu, na hata maskani zako
  2. Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu
    Kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu
  3. Nitakusifu kwa kinubi, ee Mungu, Mungu wangu
Ee Bwana Unihukumu
COMPOSERJoseph Makoye
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYC Major
TIME SIGNATURE4
4
NOTES Open PDF


Recorded by
* Kwaya ya Familia Takatifu,St. Joseph athedral Dar-es-Salaam
  • Comments