Mungu Unihifadhi Mimi

Mungu Unihifadhi Mimi
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerT. P. H. Kessy
Views10,615

Mungu Unihifadhi Mimi Lyrics

  1. Mungu unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
    Kwa maana nakukimbilia wewe
    Unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
    Kwa maana nakukimbilia wewe

  2. Bwana ndiye fungu, fungu la posho langu
    Wewe unaishika kula yangu
  3. Nimeweka Bwana mbele yangu daima
    Yuko kuumeni kwangu sitaondoshwa
  4. Moyo wangu Bwana, na unafurahi
    Nao mwili unakaa kwa matumaini