Tujongee Mezani Lyrics

TUJONGEE MEZANI

Tujongee mezani, tujongee mezani,
Tujongee mezani kwa chakula cha Bwana
Bwana ameandaa, Bwana ameandaa,
Bwana ameandaa chakula kwa ajili yetu

Bwana Yesu anatuita, tujongee mezani kwake
Mezani kwa karamu ya mapendo
Meza yake inapendeza, inapendeza sana
Jongea ndugu upate uzima

  1. Wale wenye moyo safi, moyo safi
    Ndio wanastahili kujongea meza ya Bwana
  2. Kama hujajiandaa, pia nawe
    wewe haustahili kujongea meza ya Bwana
Tujongee Mezani
CHOIRSt. Theresa Eastleigh
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
  • Comments