Twendeni Wakristu Lyrics

TWENDENI WAKRISTU

 1. Twendeni wakristu tumealikwa karamu ya Bwana.

  Mwili wake, mwili wake ni chakula kweli
  Damu yake, damu yake ni kinywaji kweli
  Sistahili uje kwangu Yesu lakini sema neno moja,
  na roho *3 yangu itapona *2

 2. Mwili wake Kristu ilitolewa kwa ajili yetu
 3. Damu yake Kristu ilimwagika kwa ajili yetu
 4. Ilitolewa kwa maondoleo ya dhambi zetu
Twendeni Wakristu
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments