Bwana Ametamalaki Lyrics

BWANA AMETAMALAKI

@ (traditional)

Bwana ametamalaki *2 aleluya

  1. Mbingu/zifurahi/ na dunia/ ishangilie
    Furahini, shangilieni, aleluya
  2. Mbingu hutangaza haki yake Bwana
  3. Mataifa/yataona/utukufu/wake Bwana
  4. Umetukuka Ee Bwana/juu ya/dunia yote
  5. Kiti chako/ni imara/Wewe upo/ tangu milele . . .
Bwana Ametamalaki
COMPOSER(traditional)
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYG
TIME SIGNATURECommon
  • Comments