Mbali Kule Nasikia Lyrics

MBALI KULE NASIKIA

@ (traditional)

 1. Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni,
  Wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani:

  Gloria in excelsis Deo,
  Gloria in excelsis Deo.

 2. Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo?
  Mwenye kuimbiwa ni nani, juu ya nani sifa hizo?
 3. Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi?
  Habari ya wimbo huo ndiyo kumshukuru Mwenyezi.
 4. Kweli, nasi twende hima, tufike kule aliko,
  Tuone mtoto na mama, tuwasalimie huko.

  ANGELS WE HAVE HEARD ON HIGH

 1. Angels we have heard on high,
  Sweetly singing o'er the plains
  And the mountains in reply,
  Echoing their joyous strains.

  Gloria in excelsis Deo,
  Gloria in excelsis Deo.

 2. Shepherds, why this jubilee?
  Why your joyous strains prolong?
  Say what may the tidings be
  Which inspire your heav'nly song?
 3. Come to Bethlehem and see,
  Him whose birth the angels sing
  Come adore on bended knee,
  Christ the Lord, the newborn King.
 4. See within a manger laid,
  Jesus, Lord of heav'n and earth
  Mary, Joseph, lend your aid,
  With us sing our Savior's birth.
Mbali Kule Nasikia
COMPOSER(traditional)
CHOIRSt. Peter Oysterbay
ALBUMNyimbo za Noeli
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE4
4
SOURCETraditional
NOTES Open PDF


Angels We Have Heard on High


Gloria;Glooria;Gloooria


 • Comments