Mkizipenda Sheria Zangu

Mkizipenda Sheria Zangu
Performed by-
CategoryMafundisho ya Yesu
Views4,660

Mkizipenda Sheria Zangu Lyrics

  1. { Mkizipenda sheria zangu
    Nitawaombea kwa Baba yangu
    (na yeye) atamtuma Roho wa kweli
    (ndiye) atakaye wafariji mioyo } *2

  2. Nyumbani mwa Baba kuna mengi,
    Kwa kweli atawapa makao *2
  3. Sitawaacha kama yatima,
    Nitamtuma Roho wa kweli *2
  4. Kwa kweli mkinipenda mimi, na
    Baba yangu atawapenda *2