Ndoa na Iheshimiwe Lyrics

NDOA NA IHESHIMIWE

  1. Ndoa na iheshimiwe kote (kwani) ni zawadi,
    (toka) kwake Mungu,
    nyumba ibarikiwe siku zote kwa pendo lake lote *2

    Yesu akae nyumbani maisha yenu,
    awape mema maisha makamilifu (oh)

    Katika shida zote kumbuka Mungu bado awapenda,
    je wafahamu, mahitaji yenu, awatajazia baraka zake *2.
    Anawapenda *5 atawajazia baraka zake-
    O hoho Yesu *2

  2. Yesu aongoze njia zenu ( sasa) awe nanyi (mpaka) miaka yote,
    Katika shida atawafariji ni ngome miaka yote *2
Ndoa na Iheshimiwe
CATEGORYHarusi




  • Comments