Wote Wakajazwa Roho Lyrics

WOTE WAKAJAZWA ROHO

{ Wote wakajazwa, Roho Mtakatifu
Wakisema matendo makuu ya Mungu aleluya } *2

 1. Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia,
  Petro akasema kwa sauti kubwa
 2. Watu wa Uyahudi, na ninyi wote
  Jueni jambo hili mkasikilize
 3. Tubuni kila mmoja mkabatizwe
  Nanyi mtapokea Roho Mtakatifu
 4. Wengi walidhihaki na kusema
  Wa-melewa kwa nyimbo mpya
 5. Yesu huyo Mungu alimfuata
  Na sisi sote tu mashahidi wake
 • Comments