Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu Lyrics

ROHO YA BWANA IMEUJAZA ULIMWENGU

Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu
{ Nayo inayoviunganisha viumbe vyote
Hujua maana ya kila sauti aleluya } *2

 1. Naye aliye na mambo yote ndani yake
  Ana ujuzi wa kila neno aleluya
 2. Mungu ainuka maadui wake watawanyika,
  Kwani pendo la Mungu limekwisha kumiminwa,
  katika mioyo yetu
 3. Na Roho Mtakatifu,
  tuliyepewa sisi aleluya
Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu
CHOIRSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
 • Comments