Salamu Mama Mtakatifu

Salamu Mama Mtakatifu
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumTunakushukuru Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerJoseph Makoye
Views5,425

Salamu Mama Mtakatifu Lyrics

  1. Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu
    Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia
    Daima na milele
    Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu
    Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia
    Daima na milele }

  2. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma
    Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema
  3. Bwana huwahifadhi wote wampendao
    Na wote wasio haki atawaangamiza