Kwa Furaha Kuu Twakuita Mbarikiwa Lyrics

KWA FURAHA KUU TWAKUITA MBARIKIWA

Kwa furaha kuu twakuita wewe mbarikiwa
Mama yetu twakutukuza wewe una heri
Kwa imani twaleta mikononi mwako
Binadamu wote, wakiwa na matumaini na hofu zao
Usiwaache wakose mwanga wa kweli
Usiwaache wakose mwanga wa kweli

  1. Duniani ulitangulia, kanisa mama utuombee
  2. Utulinde Bikira Maria, utupe na neema ya wokovu
  3. Utufikishe uwinguni, tufurahi pamoja milele
Kwa Furaha Kuu Twakuita Mbarikiwa
ALBUMUsia wa Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
  • Comments