Njoo Roho Mtakatifu Lyrics

NJOO ROHO MTAKATIFU

@ F. A. Nyundo

Njoo Roho - Mtakatifu, shusha mapaji yako, niwe imara *2
Karibu - karibu, karibu,
{ Lete - nuru ya mwanga wako
Nifikie moyoni mwangu } *2

  1. Roho mwenye hekima, Roho wa shauri na nguvu
  2. Nipatie elimu, nitambue nafsi yako
  3. Nipatie ibada, nikusifu daima na milele
  4. Roho mwenye uchaji, washa moto wako wa upendo
Njoo Roho Mtakatifu
COMPOSERF. A. Nyundo
CHOIRSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
  • Comments