Nendeni Duniani Kote Lyrics

NENDENI DUNIANI KOTE

@ Fr. D. Ntampambata

{ Nendeni duniani kote, kawafanye mataifa yote
Kuwa ni wanafunzi wangu } *2

  1. Nendeni duniani kote, awafanye makabila yote
    Kuwa ni wafuasi wangu
  2. Nendeni duniani kote, hubirini kwao watu wote
    Wajue hili Neno langu
  3. Pelekeni kwa watu wote, habari njema ya wokovu
    Wapate kuwa kundi langu
Nendeni Duniani Kote
COMPOSERFr. D. Ntampambata
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
  • Comments