Bwana Yesu Kazaliwa Lyrics

BWANA YESU KAZALIWA

@ A. E. Nambuyu

Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya * 2
Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya *2

 1. Amezaliwa (chah!) pangoni Bethlehemu (chah!)
  Ndiye Mwokozi (chah!) wetu wa dunia
 2. Leo tufurahi, Masiya kazaliwa
  Ametuletea, Ukombozi wetu
 3. Ametukomboa, kutoka dhambini
  Hivyo tuna haki kushangilia
 4. Malaika Mbinguni, pia wanaimba
  Nyimbo nzuri sana, pia za kupendeza
Bwana Yesu Kazaliwa
COMPOSERA. E. Nambuyu
CHOIRSt. Peter Oysterbay
ALBUMNyimbo za Noeli
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
SOURCETanzania
 • Comments