Mwana wa Mungu Amezaliwa Lyrics

MWANA WA MUNGU AMEZALIWA

@ Fr. D. Ntampambata

Mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu) amezaliwa (amezaliwa)
Yeye ni Mungu (Yeye Mungu) tukamwabudu

  1. Mwana wa Mungu kashuka kwetu
    Yeye ni Mungu tukamwabudu
  2. Kitoto Yesu yuko pangoni
    Yeye ni Mungu tukamwabudu
  3. Haya twendeni pale alipo
    Yeye ni Mungu tukamwabudu
Mwana wa Mungu Amezaliwa
COMPOSERFr. D. Ntampambata
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
  • Comments