Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja Lyrics

SHANGILIENI KWA KUWA MFALME YUAJA

 1. Shangilieni kwa kuwa Mfalme yuaja
  Anakuja kututoa utumwani
  Anakuja kwetu, anakuja kutuokoa

  Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu
  Anakuja kwetu Mtawala Bwana
  Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu
  Anakuja kwetu Mtawala Bwana

 2. Tayarisheni mapito yake,
  Dondoeni njia zake
  Tubuni dhambi zenu, pokeeni wokovu wake
 3. Mrudieni Mwenyezi Mungu,
  Fungueni mioyo yenu
  Basi anakuja, anakuja na enzi
Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja
ALT TITLEAnakuja Kwetu Mtawala
CATEGORYMajilio (Advent)
SOURCETraditional


Translated from: Joy to The World
 • Comments