Wewe Bwana Nguvu Yangu Lyrics

WEWE BWANA NGUVU YANGU

@ John Mgandu

Wewe Bwana nguvu yangu nakupenda sana wewe
Bwana ni jabali langu ni jabali na boma langu na Mwokozi wangu

  1. Mungu wangu Mwamba wangu ninayekukimbilia
    Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
  2. Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
    Hivyo nitaokoka na adui zangu
  3. Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
    Ampa wokovu mkuu amfanyia fadhili masihi wake
Wewe Bwana Nguvu Yangu
COMPOSERJohn Mgandu
SOURCETanzania
  • Comments