Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa

Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerJohn Mgandu
Views10,324

Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa Lyrics

  1. {Nitakushukuru nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
    Kwa jinsi ya ajabu, kwa jinsi ya ajabu ya kutisha} *2

  2. Ee Bwana umenichunguza na kunijua
    Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
    Umelifahamu wazo langu tokea mbali
  3. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
    Umeelewa njia zangu njia zangu zote njia zangu zote