Nchi Imejaa Fadhili za Bwana

Nchi Imejaa Fadhili za Bwana
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views5,651

Nchi Imejaa Fadhili za Bwana Lyrics

  1. Nchi imejaa, nchi imejaa fadhili za Bwana
    Kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika
    Aleluya aleluya aleluya aleluya

  2. Kwa kuwa Neno la Bwana lina adili
    Na kazi yake huitenda kwa uaminifu
  3. Huzitenda haki na hukumu
    Nchi imejaa fadhili za Bwana
  4. Tazama jicho la Bwana ni kwa wamchao
    Wazingojeeao fadhili zake