Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu Lyrics

EE BWANA NAKUINULIA NAFSI YANGU

@ John Mgandu

Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu
Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
Nimekutumaini wewe nisiaibike
Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
Nimekutumaini wewe nisiaibike

  1. Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda
    Nao wakungojeao hawataaibika
  2. Bwana unijulishe njia zako zote Bwana
    Bwana unifundishe mapito yako yote
Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu
COMPOSERJohn Mgandu
CATEGORYZaburi
SOURCETanzania
  • Comments