Msifuni Yesu Mwokozi

Msifuni Yesu Mwokozi
Performed by-
CategoryZaburi
Views12,840

Msifuni Yesu Mwokozi Lyrics

  1. Msifuni Yesu mwokozi enyi malaika
    Enyi malaika mwekeni mfalme wa yote

    Kamvi-ke mvike mvike mvike
    Mvike mvike mvike kamvike kilemba

  2. Enyi Waisraeli mliokombolewa
    Mliokombolewa mwekeni mfalme wa yote
  3. nanyi waovu wenye dhambi Pendo lake kwenu
    hausahauliki mwekeni mfalme wa yote
  4. Watu wa kabila zote katika dunia
    Katika dunia mwekeni mfalme wa yote
  5. Shangwe na utukufu ziwe kwake Mkombozi
    'kombozini na mfalme tumweke mfalme wa yote