Njoo Roho Mtakatifu Lyrics

NJOO ROHO MTAKATIFU

 1. Njoo Roho Mtakatifu - njoo Roho Mtakatifu
  Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yako

  Zienee- zienee nyoyo za waumini
  Ukawashe ndani yao moto
  Wa mapendo yako *2

 2. Njoo Roho wa hekima -
  Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yako
 3. Njoo Roho wa Ibada -
  Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yako
Njoo Roho Mtakatifu
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SOURCETanzania
 • Comments