Njoo Roho Mwema Lyrics

NJOO ROHO MWEMA

Njoo njoo njoo kwetu Roho Mwema Mfariji *2
Tufundishe ya Mbinguni tuwe wote watu wapya
Njoo Roho mwema njoo kwetu njoo
Utupe hekima tuishi na wewe *2

  1. Wewe waitwa kisima cha uzima tena mafuta ya roho *2
  2. Wewe mtoaji wa mapaji saba kwa jina la Mungu Baba *2
Njoo Roho Mwema
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SOURCETanzania
  • Comments