Nimefufuka na Bado

Nimefufuka na Bado
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Composer(traditional)
Views5,607

Nimefufuka na Bado Lyrics

  1. Nimefufuka na bado ningali pamoja nawe
    Aleluya wauweka mkono wako juu yangu

  2. Ee Bwana mchungaji wangu popote wanifahamu
  3. Hakuna chochote kwangu, usikifahamu Bwana
  4. Hata nikiwemo mbinguni pia niende kuzimu
  5. Mtukufu Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu