Bethlehemu ni Furaha Lyrics

BETHLEHEMU NI FURAHA

 1. Bethlehemu leo ni furaha
  Yesu amezaliwa
  Wachungaji enda Bethlehemu
  Yesu amezaliwa

  Malaika wote wanaimba
  Wanaimba juu Mbinguni
  Yesu amezaliwa *2

 2. Mtoto Yesu amezaliwa
  Pangoni Bethlehemu
  wachungaji nao wamefika
  Kumwona mtoto Yesu
 3. Na wafalme pia wamefika
  Kumwona mtoto Yesu
  Na zawadi pia wamebeba
  Mtoto kumpelekea
 4. Utukufu una Mungu Baba
  Pia hata Mwana
  Na Roho Mtakatifu
  Milele Amina
Bethlehemu ni Furaha
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments